Psalms 67:5-7

5 aEe Mungu, mataifa na wakusifu,
mataifa yote na wakusifu.

6 bNdipo nchi itatoa mazao yake,
naye Mungu, Mungu wetu, atatubariki.
7 cMungu atatubariki
na miisho yote ya dunia itamcha yeye.
Copyright information for SwhNEN